Penn State University Swahili Web Site

Back to Songs List

Kiswahili Kitukuzwe

Kiswahili kitukuzwe, kwani ni lugha ya taifa
Baba, mama na vijana, lugha kitu cha maana
Watu wanapokutana bila lugha watakwama
Kiswahili kitukuzwe, kwani ni lugha ya taifa


Flash required to play audio.
Audio © 2001, Penn State University.