Back to Songs List
Sikiliza mama wee, nikwambie jinsi Mikono yangu midogo wee, siwezi kufanya kazi Siwezi kufanya kazi Lakini mpenzi mama wee. nitakuwa mkubwa Nitakusaidia na wewe upumzike Na wewe upumzike